Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Tuesday, 14 February 2017

KOREA YA KASKAZINI NI NCHI HATARI SANA HAPA DUNIANI ASEMA TRUMP

Rais wa Marekani Donald Trump ameizungumzia Korea ya Kaskazini baada ya kitendo chake cha hivi karibuni cha kurusha kombora lenye uwezo wa kubeba silaha za kinyuklia kwamba nchi hiyo ni tatizo kubwa mno hii imeongeza vuguvugu zaidi l msuguano uliopo baina ya Marekani na Korea Kaskazini kwa miaka mingi kwani imekuwa ikitafsiriwa kama Rais Kim ni mkorofi na haelewi kile anachoelekezwa na nchi zingine.

Trump alitoa matamshi hayo alipokuwa akizungumza na waandishi habari akiwa pamoja na waziri mkuu wa nchi ya Canada, Justin Trudeau katika ikulu ya Marekani, Trump amesema kwamba ataishughulikia na nchi ya akizungumza kwa msisitizo juu ya kauli hiyo.

Baraza la usalama la Umoja wa mataifa lina nia ya kufanya mkutano wa dharula muda mfupi ujao ili pamoja na mambo mengine kujadili juu ya kitendo cha Korea ya Kaskazini.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads