Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Wednesday, 15 February 2017

WACHIMBAJI WANASA KWENYE MGODI BUHEMBA

Wachimbaji wadogo wadogo 5 wanasadikiwa kunasa katika Mgodi wa Uchimbaji Dhahabu wa STAMICO uliopo katika wilaya ya Buhemba mkoani Mara, wachimbaji hao wanakadiriwa kuwa walikuwa zaidi ya futi 200

Tatizo hilo lilianza baada ya mporomoko wa miamba kwani hali hiyo ilikuwa ikisikika hadi kwa watu walio nje ya mgofi inakadiriwa watu 6 mpaka sasa wameokolewa na wengine wengi bafo wapo ndani ya mgodi haijafahamika kama bado wako hai au wamekufa kwa maana hakuna mawasiliano ya moja kwa moja kutoka chini ya mgodi.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads