Askofu William Mwamalanga amesema kipindi klabu ya Billicanad ilipokuwa ikifanya kazi ilihusishwa kwa kiasi kikubwa na kutumiwa na wafanyabiashara wa dawa za kulevya
Amesema amesikitishwa sana kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar kumhusisha Mbowe katika uuzaji wa Madawa ya Kulevya kitendo ambacho wao hawakusema hivyo kwani mtu kuhusika na nyumba au biashara yake kutumiwa na watu wenginr bila ye kujua ni suala linalowezekana kwani yeye mara nyingi(Mbowe)henda hata mambo mengi alikuwa hajui yanavyoendelea pale mbali na kupewa taarifa tu kama mmiliki,aliongeza kwa kusema alishangazwa sana kusikia Mheshimiwa Mbowe akitajwa ambae pia ni Mbuge wa Hai na Kiongozi wa Kambia ya Upinzani Bungeni





0 comments:
Post a Comment