Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amezindua Baraza la kudhibiti madawa ya kulevya. Akizungumza na Mawaziri na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Udhibiti wa Dawa za Kulevya Nchini wakati akifungua kikao cha Baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam ameonya vikali wajumbe hao kutojihusisha na rushwa.





0 comments:
Post a Comment