Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Sunday, 19 March 2017

ZANZIBAR WAANZA KULIPA DENI LA TANNESCO

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo amesema Zanzibar haitakatiwa umeme baada ya Serikali ya Mapinduzi (SMZ) kuanza kulipa kiasi cha Shilingi Bilioni 10 katika deni inalodaiwa na TANESCO.

- Ameyasema hayo baada ya mazungumzo kati ya Rais Magufuli na Rais Shein yaliyohudhuriwa na Waziri Muhongo na viongozi Waandamizi wa TANESCO.


0 comments:

Post a Comment

Propellerads