Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Monday, 20 March 2017

RUGE MUTAHABA AFUNGUKA UKWELI KUHUSU PAUL MAKONDA KUVAMIA CLOUDS

Moja kati ya Stories kubwa sana weekend hii ni pamoja na inayomuhusisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda kuhusu kuvamia ofisi za Clouds Media Group akiwa na Askari wenye silaha kwa kilichosemekana kwamba alifanya vurugu kituoni haspo.
Vurugu ambazo hapo awali ilisemekana ni kumpiga mmoja kati ya watangazaji wa kituoni hapo afahamikae kama Soudy Brown kwa kosa la kutorusha kipindi ambacho hapo awali ilisemekana walikubaliana kukifanya kilichokuwa kikihusu kumchafua Askofu Josephat Gwajima.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads