Chanzo cha ajali hiyo iliyotokea majira ya nne asubuhi inaelezwa kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ndogo ambaye hakuwa na utulivu barabarani na kujikuta yupo upande usio sahihi na kusababisha ajali.
Hata hivyo hakuna mtu aliyepoteza maisha ingawa dereva wa gari dogo na abiria wake mmoja, wameumia na kukimbizwa katika hospitali ya rufaa mkoa wa Shinyanga.Mwandishi wa habari hii alifika eneo la tukio mapema kabisa.






0 comments:
Post a Comment