Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Thursday, 16 February 2017

ZOEZI LA KUOPOA WATU WALIONASA MGODINI LAINGIA UTATA

Zoezi la kuwaopoa watu walionasa Mgodini huko Buhemba mkoani Mara limekuwa gumu zaidi baada ya kuwa ukinzani mkubwa wa maji katika mgodi huo wa Stamico,hali hiyo imepelekea kuwa gumu kutokana na kuwa na ukosefu wa vifaa sahihi vya kufanyia zoezi

Mkuu wa Wilaya hiyo Bi Annarose amesema hali hiyo imekuwa ngumu zaidi pia kutokana na kutofahamu ni watu wangapi wako huko chini ya ardhi kutokana na kuwa baadhi ya wachijambaji kuwa wanaingia huko chini bila kujisajili nje ya Mgodi,nae Mkuu wa zoezi hilo na kiongozi wa zoezi ambae pia ni mmoja wa viongozi wa Stamico kusema kuwa wameomba msaada kutoka migodi ya jirani pia wizara ya Nishati na Madini ili kuweza kupata wa vifaa stahiki  vya kusaidia na kurahidisha zoezi hilo.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads