Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Thursday, 16 February 2017

YUSUPH MANJI AACHIWA HURU KWA DHAMANA

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10. Manji alipandishwa kizimbani leo kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kutumia dawa za kulevya. Pamoja na mambo mengi Manji ameonekana hali yake ya kiafya ikiwa imeimarika baada ya kuaripotiwa kuugua na kupelekwa Taasisi ya Moyo Muhimbili.


Manji amedhaminiwa na Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa. Kabla ya hapo mfanyabiashara huyo alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya moyo yaliyompata baada ya kushikiliwa kwenye kituo kikuu cha polisi Central.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads