Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Sunday, 19 February 2017

WAZIRI MUHONGO AZITAKA KAMPUNI ZA MADINI ZIJISAJILI SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM

 Kampuni  kubwa za madini ya dhahabu zimepewa wiki sita kujiandikisha katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametoa agizo hilo alipotembelea mgodi wa RZ.
Mwishoni mwa Januari  watu 15 katika mgodi huo  walifukiwa na kifusi cha udongo.
Amewataka makamishna wa madini kote nchini kufuatilia na kuhakikisha kampuni zote zimejiandikisha kwenye soko la hisa na kwamba, lengo ni kutaka Watanzania wanufaike na uwapo wa rasilimali hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads