Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Friday, 17 February 2017

WATUMISHI WA MAMLAKA YA MAPATO WASHIKILIWA KWA TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamegundulika kuhusika na kujihusisha na madawa ya kulevya baada ya kufanya uchunguzi wa ripoti ya majina iliyokabidhiwa kwao na uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam.

Kamishan Msikhela amesema taratibu zinazotumika kwa sasa za kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni za kiusalama zaidi ili kuzuia watuhumiwa wasipoteze ushahidi.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads