Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Friday, 17 February 2017

PURUKUSHANI ZA WAMACHINGA ZAIBUKA UPYA MWANZA

Umeibuka upya mvutano baina ya  mgambo wa jiji la Mwanza na wamachinga baada ya kutakiwa kuondoka eneo la Makoroboi katikati ya msikiti wa Swaminarayan. Huenda hali hiyo imechochewa zaidi na Wamachinga kuwa kwa wingi karibu zaidi na Msikiti wa Wahindi kwani mwingi Wamachinga wamekuwa wakilalamikiwa wakitakiwa waondoke eneo hilo.
Kutokana na vurugu hizo kwa sasa barabara inayounganisha kituo mabasi cha zamani cha Tanganyika imefungwa kukiwa na ulinzi mkali wa mgambo na polisi wa FFU.
Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza kitendo hiki cha kuwaondosha wamachinga eneo hilo ni wazi na dhahiri uongozi wa mkoa huo unapingana na agizo la Rais?

0 comments:

Post a Comment

Propellerads