Leo Mkuu wa mkoa ea Dar Es Salaam amesema atakwenda kuhojiwa pekee endapo atapokea wito kwa barua amedai kuwa yeye hawezi kwenda kuhojiwa kwa maneno ya kusikia tu kwenye vyombo vya habari tofauti na hapo itakuwa ni ndoto ye kufika huko kuhojiwa na hiyo kamati ya Bunge,ikumbukwe kuwa Thomas Kashilila katibu wa Bunge alisema kuwa taratibu za kumuita Paul Makonda pamoja na Mkuu wa Wilaya Mnyeti hazikufuatwa hivyo ilitakiwa uandaliwe utaratibu ambao upo kisheria zaidi hapo ndipo watuhumiwa hao wangeweza kuitwa na kusikilizwa.





0 comments:
Post a Comment