Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Saturday, 18 February 2017

MASHABIKI YANGA WAONYWA MECHI YA LEO DHIDI YA NGAYA FC


Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania mashabiki wote wa Yanga waliojiandaa kwenda na mabango ya kukashifu serikali,hili limeelezwa linaweza kutokea kwani Shirikisho lina taarifa hizo.

Mashabiki hao wamejiandaa kufanya hivyo kutokana na mwenyekiti wao Yusuph Manji kushikiliwa na Polisi baadae kupelekwa mahakamani kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya.

Shirikisho limesema vitendo hivyo vikifanyika vinaweza kuleta uvunjifu wa amani na hata kupelekea uharibifu wa uwanja kama uliofanyika kipindi na katibu mkuu akaonya kuwa safari hii tukio kama hilo likitokea inaweza kuwaamusha zaidi na kuifungia timu hiyo kutokuutumia Uwanja wa taifa moja kwa moja kwani itakuwa ni dharau na utomvu wa nidhamu uliopitiliza kwa serikali,pia akakumbushia kauli iliyowahi kutolewa na serikali dhidi ya timu zinazoharibu miundombinu ya viwanja yeye Rais hawezi kwenda kuangalia mechi kama hizo ni bora akaangalie mechi za mchangani.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads