Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Saturday, 18 February 2017

DR. MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAOFISA WA JWTZ

Dr. Rais John Pombe Magufuli, ametunuku kamisheni kwa maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika vyeo  vya Luteni Usu.

Hafla ya kutunuku kamisheni hizo imefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo miongoni mwao wanaume ni  143 na wanawake ni 22.

Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Meja Jenerali  Masao, akizungumza katika hafla hiyo amesema wahitimu wa mafunzo hayo ni pamoja na maofisa 15 kutoka mataifa mengine.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads