Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Wednesday, 15 February 2017

DIAMOND AITWA POLISI

Leo Diamond aliitwa na Polisi katika Kituo cha Polisi na kufanyiwa mahojiano na Kamanda wa Usalama barabarani Mohamed Mpinga hii imesababishwa na kuenea kwa video mtandaoni ikimuonesha Diamond akiendesha Gari bila kufunga mkanda pia akiwa wakati mwingine anaachia usukani.

Diamond amethibitisha hilo kupitia Instagram yake kwa kuandika  ‘picha hizo leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na video clip tuliyopost naendesha gari barabarani bila kufunga mkanda na pia kuachia usukani na kucheza‘

‘Nikapewa Onyo na kulipa faini kwa mujibu wa sheria… tafadhali watanzania na Vijana wenzangu… tuhakikishe tunafunga mikanda pindi tupandapo na tuendeshapo Magari Maana ni Hatari kwa Maisha yetu na inaweza kukupeleka kunyea debe pia. –  Diamond

0 comments:

Post a Comment

Propellerads