Propellerads
Propellerads
Propellerads
Daily Updates!

We share informations with you

Propellerads

Sunday, 19 February 2017

CHELSEA WAIPIGA WOLVES 2-0

Viongozi wa ligi kuu wa Primia Chelsea wamefika robo fainali ya kombe la FA baada ya kuwashinda Wolves mabao 2-0 katika mechi ya kusisimua iliyoandaliwa kwenye uwanja wa Molineux.
Wolves walionyesha mchezo mzuri na kuishambulia ngome ya Chelsea mara kwa mara kabla ya wageni kuamka na kuwasukuma wenyeji nyuma.
Fabregas alikuwa mchangamfu na alichangia pakubwa mashambulizi ya ChelseaHaki miliki ya pichaREX FEATURES
Image captionFabregas alikuwa mchangamfu na alichangia pakubwa mashambulizi ya Chelsea
Diego Costa aliifungua Chesea bao la pili na kufikisha jumla ya mabao 16 msimu huu.
Chelsea ambao wamefungu mwanya wa pointi 8 wakiwa kileleni mwa jedwali, walikumbana na shinikizo kali kutoka kwa Burnely walipotoka sare ya bao 1-1 wiki iliyipiya.

0 comments:

Post a Comment

Propellerads