Moto mkubwa unaarifiwa kutokea huko Kayanga Kagera katika Bweni la wavulana ambapo hakuna madhara makubwa sana yalotokea kwani ni vitu vichache tu vya wanafunzi vimeungua
Imearifiwa moto huo umesababishwa na hitirafu ya umeme katika Transfoma iliyo hapo shuleni,hii ni mara ya pili kutokea mfululizo kwa mwaka huu.





0 comments:
Post a Comment